WABUNGE 19 wa Viti Maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), jana walikula kiapo cha ubunge jana huku wakisema wana baraka zote kutoka kwenye chama chao na watafanya kazi kwa uaminifu na uadilifu na kwa kiwango kile kile cha Bunge la 11.
Aug 09, 2020 · Lulu Mwacha aongoza kura za maoni UVCCM Wabunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana Tanzania Bara Wagombea wa nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum(Vijana), waliofanikiwa kupenya kwenye nafasi 6 Tanzania Bara baada kuchaguliwa na Baraza kuu la UVCCM Taifa, Dodoma, (kura za maoni) ni hawa wafuatao.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Profesa Adelardus Kilangi amewaonya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kutowabugudhi wabunge wa viti maalum kutoka chama hicho. Profesa Kilangi amesema, mchakato wa wabunge wa viti maalum kutoka CHADEMA umefuata Sheria na Katiba, hivyo hawapaswi kubugudhiwa.
Nov 24, 2020 · ORODHA YA WABUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA 2020. Posted by Khadija Mussa | Nov 24, 2020. 1. Halima Mdee. 2. Grace Tendega. 3. Ester Matiko. 4. Cecilia Pareso ...
NEC yateua Wabunge 8 wa Viti Maalum CUF. HABARI ZONE. Thursday, July 27, 2017. HABARI. Related Posts. HABARI. Leave a Comment. No comments. Subscribe to: Post ...
<div dir="ltr" style="text-align: left;" trbidi="on"><table align="center" cellpadding="0" cellspacing="0" class="tr-caption-container" style="margin-left: auto ...
Apr 14, 2017 · Breaking News: Mchungaji Lwakatare ateuliwa kuwa mbunge viti maalum CCM kumlithi Sophia Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa Mama mchungaji Getrude Lwakatale ameteuliwa kuwa mbunge wa Viti Maalum CCM , akichukua nafasi iliyoachwa wazi na mwana mama Sophia Simba baada ya kufukuzwa uanachama wa chama cha mapinduzi.
Alisema wabunge wa Viti Maalum ni sawa na Wabunge wengine wa majimbo na hakuna tofauti ya kiapo cha wabunge wa majimbo na wale wa viti maalumU. Akijibu swali hilo, Kakunda amesema kamati ya fedha, uongozi na mipango imeundwa kwa mujibu wa Sheria ya serikali za Mitaa(Mamlaka za wilaya) sura 287, kifungu cha 75 na Sheria ya serikali za mitaa ...